sw_tn/deu/15/19.md

235 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

kumnyoa

kukata pamba au nywele

mbele ya Yahwe

"kwenye uwepo wa Yahwe"

mwaka kwa mwaka

"kila mwaka" au "kila mwaka"

kipofu

walemavu au asiyejiweza kimwili.