sw_tn/deu/14/26.md

606 B

kwa chochote utamanicho

"kwa chochote unataka"

mbele ya Yahwe

"kwenye uwepo wa Yahwe"

Mlawi aliye ndani ya malango yako

Hapa "lango" uwakilisha mji wote.

usimsahau yeye

Hii inaweza kutajwa kwa kauli chanya. "hakikisha unatoa moja ya kumi yako kwa Mlawi"

kwa kawa hana sehemu wala urithi pamoja nawe

Kabila la Lawi halikupokea sehemu ya ardhi kama urithi. Mgao wao wa urithi ulikuwa heshima ya kumtumikia Yahwe kama makuhani wake. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kuwafanywa wazi.

hakuna sehemu wala urithi pamoja nawe

Mungu hakutoa ardhi kwa Walawi husemwa kama hakuwapa urithi.