sw_tn/deu/14/22.md

220 B

toa sehemu ya kum ya mazaoa ya mbegu yako

Hii umaanisha wanapaswa kutoa moja ya sehemu nje ya kila kumi sawa na sehemu toka mazaoa yao.

miaka baada ya miaka

"kila mwaka"

mbele ya Yahwe

"kwenye uwepo wa Yahwe"