sw_tn/deu/14/03.md

570 B

Haupaswi kula kitu chochote chukizo

Watu wa Israeli hakuwapaswa kula kitu chochote ambacho Mungu alisema hakikua kizuri kwa kuliwa.

paa, kulungu na kulungu wa kiume

Hizi ni aina za paa. Kama katika lugha yako hauna neno kwa kila mnyama inaweza kutofasiriwa kama "aina yote ya paa"

Kulungu

Huyu ni mnyama wa mwituni akiwa na miguu mirefu mwembamba ambayo inaweza kukumbia kwa haraka.

Kulungu wa kiume

aina ya paa

bebe, na swala

Wote hawa ni aina ya swala. Kama lugha yako haina neno kwa ajili ya mnyama inaweza kutofasiriwa kama "aina yote ya swala."