sw_tn/deu/14/01.md

1.1 KiB

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Ninyi ni watu...ninyi ni taifa...amewachagua

tukio lote la "wewe" urejea kwa watu wa Israeli. Musa alijumuishwa kama sehemu ya watu.

Msijivunue, wala msiweke sehemu yoyote ya uso wako kwa wafu

Hizi zilikuwa njia za makundi ya watu waishio Kanani walionyesha kwamba walikuwa wakihuzunika juu ya watu walio kufa. Musa anawambia watu wa Israeli wasifanya kama wao. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kuwa wazi.

wala kunyoa sehemu ya uso wao

"wala kunyoa mbele ya kichwa chako"

wewe ni taifa ambalo limetengwa kwa Yahwe Mungu wako.

Yahwe anachagua watu wa Israeli kuwa wake katika njia maalumu husemwa kama Yahwe aliwatenga kutoka mataifa mengine yote.

Yahwe amewachagua ninyi kuwa watu kwa ajili ya miliki yake.

Hii humaanisha kimsingi kitu kile kama sehemu ya kwanza ya sentensi. Vyote humaanisha watu wa Israeli kuwa sehemu ya Yahwe kwa njia maalumu.

watu kwa ajili ya miliki yake

"watu kwa ajili ya miliki ya hazina" au "watu wake"

zaidi ya watu wote ambao wako juu wa uso wa ardhi.

nje ya makundi wa watu katika ulimwengu.