sw_tn/deu/13/12.md

885 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Wenzake wengine waovu wamekwenda kati yenu

Maneno haya "kati yenu" umaanisha kwamba wanaume hawa waovu walikuwa Waisraeli walioishi kwenye jamii zao.

wamewaondoa wenyeji wa jiji lao na kusema tuache na kuabudu miungu mingine ambayo hamjui

Hii inaweza kutofasiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

amewaondoa wenyeji mbali na mji wao

Mtu anasababisha mtu mwingine kuacha kumtii Yahwe husemwa kama mtu aliyemsababisha mtu mwingine kimwili kugeuka na kumwacha Yahwe

kuchunguza ushahidi, kufanya utafutaji, na kuchunguza vizuri

Haya maneno yote umaanisha kimsingi kitu kilekile. Musa anasisitiza kwamba wanapaswa kwa umakini kujua nini kilichotokea kweli katika mji

kwamba kitu hicho cha machukizo kimefanyika kati yenu

Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "kwamba watu wa mji wamefanya kitu kibaya"