sw_tn/deu/13/06.md

24 lines
809 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# mke wa kifua chako
Kifua ni kifua cha mtu. Hii ni nahau ambayo anashikilia karibu na kifua chake, ambayo inamaanisha anampenda na kumthamini.
# rafiki ambaye kwako ni kama nafsi yako
Hapa "nafsi" uwakilisha maisha ya mtu. Hii ina maana mtu anamjali rafiki wake zaidi kama anavyojali maisha yake mwenye.
# kwa siri hukushawishi na kusema, hebu tuende na kuabudu mwisho mwingine wa dunia
Hii inaweza kutofasiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. "kwa siri ujaribu kukushawishi uende na kuabudu... mwisho mwingine wa dunia."
# ambayo ni pande zote karibu nawe
ambayo ni karibu nawe
# kutoka mwisho wa dunia mpaka mwisho mwingine wa dunia
Hii ni kumbukumbu ya kutaja juu ya mambo makuu mawili ya dunia inamaanisha kila mahali duniani.