sw_tn/deu/12/20.md

299 B

kuza mipaka yako

"kuza eneo lako" au "jipe eneo kubwa zaidi"

unasema, 'nitakula nyama; kwa sababu ya hamu ya kula nyama

hii ni nukuu ndani ya nukuu. Hii ni nukuu ya moja kwa moja inaweza kutajwa kama nukuu ya siyo ya moja kwa moja.

kama hamu za royo yako

Hapa "roho" urejea kwa mtu mzima