sw_tn/deu/12/17.md

251 B

Habari ya jumla

Musa anaelezea kwa watu sadaka zote maalumu na dhabihu ambazo zinapaswa kufanywa hekaluni.

ndani ya malango

Hapa "malango" uwakilisha mji mzima.

wala ile ya sadaka uliyoitoa kwa mkono wako

Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima.