sw_tn/deu/12/07.md

208 B

Ni pale

Hii urejea kwa eneo ambalo Yahwe atachagua kwa watoto wa Israeli kuabudu.

furahia juu ya kila kitu ambacho umeweka mkono wako

Hapa "umeweka mkono wako" uwakilisha mtu mzima na kazi aliyofanya.