sw_tn/deu/11/29.md

1.0 KiB

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

utaweka baraka juu ya mlima Gerizimu, na laana juu ya Mlima Ebali

Baraka na laana huzungumzwa kama vilikuwa vitu ambavyo mtu ataweka kwenye milima. "baadhi yenu wanapaswa kusimama juu ya Mlima wa Gerazimu na kutangaza nini kitakachomfanya Yahwe awabariki, and wengine wanapaswa kusimama juu ya Mlima wa Ebali na kutangaza nini kitamsababisha Yahwe kuwalaani"

Mlima Gerizimu...Mlima Ebali

Haya ni majina ya milima huko upande wa mashariki mwa mto Yordani.

Je, si zaidi ya Yordani..Moreh?

Waisraeli wkao upande wa mashariki mwa mto Yordai. Musa atumia swali kuwakumsha watu ambapo milima hii iko wapi. Swali hili linaweza kutajwa kama taarifa.

zaidi ya Yordani

"upande wa magharibi wa Mto Yordani"

magharibi ya barabra ya magharibi

"magharibi"

juu ya Gilgal

"karibu na Gilgal" Hii inaweza kuwa si sawa na mji karibu na Jeriko. Musa anaweza kuwa akimaanisha mahali karibu na Schechem.

Oaks ya Moreh

Hii ni miti takatifu karibu na Gilgali.