sw_tn/deu/11/24.md

786 B

Habari za jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Kila mahali ambapo unyao wa mguu wako utaenda

Hapa "unyao wa mguu wako" uwakilisha mtu mzima.

kutoka kwenye mto, mto Euphrates

"kutoka kwenye mto Euphrates"

Hakuna mwanaume ataweza kusimama mbele yako.

Maneno "kusimama mbele yako" ni nahau. "hakuna mtu ataweza kukusimamisha" au "hakuna mtu ataweza kukupinga wewe"

Yahwe Mungu wako ataiweka hofu yako na hofu yako juu ya nchi yote unayoenda.

Yahwe anasababisha watu kuwa waoga sana inazungumwa kama kuogopa na hofu kilikuwa kitu ambacho ataweka juu ya watu.

kuogopa kwako na hofu yako

Maneno "kuogopa" na "hofu" umaanisha kitu kile kile na kusisitiza kiwango cha hofu.

juu ya nchi yote unayoiendea

Hapa "nchi" ni kielezo cha watu wote katika nchi.