sw_tn/deu/11/22.md

24 lines
944 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli
# Kama mtayashika kwa bidii maagizo haya yote ambayo ninawaamuru nyinyi, ili kwamba myafanye
"Kama mnakuwa makini kufanya kila kitu nilichokuamuru"
# tembea katika njia zake zote
Namna gani Yahwe anahitaji mtu aishi na kutenda inazungumza kama walikuwa njia au barabara ya Yahwe. Mtu kumtii Yahwe kunasemwa kama alikuwa anatembea kwenye njia au barabara ya Yahwe.
# kushikama naye
Kuwa na ushirika na Yahwe na kumtegemea yeye kunazungumza kama mtu anayeshikamana na Yahwe.
# yote haya mataifa toka mbele yako,na utawafukuza mataifa
Hapa "mataifa" uwakilisha makundi ya watu tayari yanaishi huko Kanaani. "Yote haya makundi ya watu kutoka mbele yako, na utachukua ardhi kutoka makundi ya watu"
# Kubwa na nguvu zaidi kuliko ninyi
Ingawa jeshi la Israeli ni dogo na dhaifu zaidi kuliko vikundi vya watu wanaoishi Kanaani, Yahwe atawawezesha watu wa Israeli kuwashinda.