sw_tn/deu/11/20.md

549 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

kwamba siku zenu na siku za watoto wenu ziweze kuongezeka

Hapa "siku" uwakilisha muda mrefu wa wakati. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. "ili kwamba Yahwe aweze kuwasababisha ninyi na watoto wenu kuishi muda mrefu"

kwa mababu zenu

Hii urejea kwa Abrahamu, Isaka, na Yakobo.

kuwapa maadamu mbingu ziko juu ya ardhi.

Hii ulinganisha kwa muda kiasi gani watu hawa wataweza kuishi katika nchi kwa muda kiasi anga litakuwepo juu ya ardhi. Hii ni njia ya kusema "milele"