sw_tn/deu/10/10.md

633 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani.

kama kwa wakati wa kwanza

"kwanza" ni namba ya makutano kwa ajili ya moja. Hapa urejea kwa wakati wa kwanza Musa alienda juu kwenye mlima wa Sinai kupokea mbao mbili toka Yahwe. "kama nilivyofanya kwanza"

siku arobaini na usiku arobaini

"siku 40 na usiku 40"

kuwaharibu

Musa azungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja, hivyo neno "wewe" hapa ni umoja.

kumiliki nchi

"chukua nchi" au "chukua miliki ya nchi"

mababu wenu

Hii inarejea kwa Abrahamu, Isaka, na Yakobo

kuwapa wao

"ambacho nitawapa ninyi, wazao wao"