sw_tn/deu/10/05.md

262 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani.

Niligeuka

Hapa "Ni" urejea kwa Musa.

kuja chini kutoka kwenye mlima

kuja chini kutoka kwenye mlima Sinai"

kwenye safina

"kwenye boksi" au "kwenye kifua"