sw_tn/deu/10/01.md

323 B

Taarifa ya ujumla:

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani.

Kwa wakati ule

"Baada ya kumaliza kuomba"

kwanza

"kwanza: ni namba ya makutano kwa moja. Urejea kwa seti ya kwanza ya mbao ambazo Musa alizokuwa amevunja.

juu ya ule mlima

Hapa "mlima ule" urejea kwa mlima Sinai.