sw_tn/deu/09/19.md

8 lines
461 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kile kilichotokea zamani.
# Kwa kuwa nilikuwa nimeogopa hasira na gadhabu kali ambayo Yahwe alikuwa amekasirika vya kutosha dhidi yenu kuwaangamiza
Maneno "hasira na gadhabu kali" ni mbadala wa kile Yahwe atafanya kwa sababu ya hasira na kuchukizwa. "Yahwe aliwakasirikia ninyi - alichukizwa sana nanyi-- alikasirika vya kutosha kuwaangamiza ninyi, na kwa hiyo niliogopa kwa kile atakifanya"