sw_tn/deu/09/01.md

708 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.

Sikia, Israeli

"Sikiliza, watu wa Israeli." Neno "Israeli" ni maneno kwa ajili ya watu wa Israeli.

kuwafukuza

"kuchukua ardhi toka"

kuimarisha juu ya mbingu

Huku ni kutia chumvi ambako kunasisitiza namna watu waliogopa walivyokuwa kwa sababu miji ilikuwa mkubwa na imara. "ilikuwa na kuta ndefu"

Mwana wa Anakimu

Wazao wa Anak watu waliokuwa wakubwa na wakali.

Nani anaweza kusimama mbele ya wana wa Anak?

Hii ina maana kwamba wana wa Anak walikuwa na nguvu na watu waliwaogopa. Hili ni swali la kejeli linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Hakuna yeyote anayeweza kutetea mwenyewe dhidi ya wana wa Anaki."