sw_tn/deu/08/15.md

1018 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.

nani aliwaongoza...huko mwishoni

Musa aendelea kuwakumbusha wanaisraeli kwa kile wanachojua kuhusu Yahwe

na kupitia

"na kuwaongoza kupitia"

nyoka wa moto

"nyoka wa sumu"

ardhi ya kiu

Haya maneno yanaelezea ardhi kuwa na kiu kama vile mtu anavyokuwa na kiu wakati anapohitaji maji. "ardhi kavu"

nani aliongoza...nani alileta...nani alimlisha

"Yahwe, ndiye aliongoza...Yahwe,ndiye aliyeleta...Yahwe, ndiye alimlisha"

kukufanya wewe vizuri

"kukusaidia wewe" au "kwasababu itakuwa vizuri kwako"

na unasema moyoni mwako

Hili ni jambo la tatu watu wanaweza kufanya wakati mioyo yao "kuinuliwa juu" na wana "msahau Yahwe" 8:13. Hapa "moyo" ni maneno mbadala wa mawazo ya ndani ya mtu.

Nguvu yangu na mkono hodari wangu umepata utajiri wote huu.

Hapa "mkono" urejea kwa nguvu za mtu au uwezo. "Nimepata utajiri huu kwa sababu niko imara na nguvu" au "Nimepata vitu hivi vyote kwa nguvu zangu na uwezo wangu"