sw_tn/deu/08/11.md

691 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumzza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja.

usipuuzie amri zake

"usiache kutii amri zake" au "kuendelea kutii amri zake"

Uwe makini kwamba, wakati unakula... ishi kwazo

Musa aanza kuwaambia kitu cha pili wanachohitaji kuwa makini nacho. Hii ni orodha ndefu ambayo inaendelea katika mistari ifuatayo.

Uwe makini kwamba, wakati unakula na kushiba, na wakati unajenga

Yamkini maana nyingine ni kwamba hizi si "wakati" vishazi lakini ni mbadala ya mwanzo wa orodha ya matokeo ya kuupuzia amri za Yahwe: "Kama unapuuzia amri zake, utakula na kushiba na kujenga."

wakati unapokula na unashiba

"wakati unakuwa na chakula cha kutosha kula"