sw_tn/deu/08/03.md

727 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja. Aendelea kuwakumbusha nini wanapaswa "kutafakari akilini"

Aliwanyenyekeza

"Yahwe aliwaonyesha namna mlivyo dhaifu na wenye dhambi" Ona namna "anaweza kuwanyenyekeza" imetofasiriwa katika 8:1

aliwalisha kwa manna

"aliwapa manna kula"

si kwa mkata tu kwamba watu waishi

Hapa "mkate" uwakilisha chakula. "chakula si kitu pekee watu wanahitaji ili waishi"

ni kwa kila kitu ambacho hutoka kinywani mwa Yahwe ambacho watu wanaishi

Hapa "kinywani mwa Yahwe" ni maneno ya Yahwe anayosema. "watu wanapaswa kutii amri za Yahwe ili kwamba waweze kuishi" au " watu wanapaswa kufanya kila Yahwe awaambia kufanya ili kwamba waweze kuishi"