sw_tn/deu/07/17.md

735 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

Kama unasema kwenye moyo wako... usiogope

Watu hawapaswi kuogopa hata kama wanagundua kwamba mataifa yako na nguvu kuliko wao. "Hata kama mnasema moyoni mwenu"

sema kwenye moyo wako

"fikiri"

namna gani ataweza kuwafukuza wao?

Musa atumia swali kusisitiza kwamba watu wataweza kujihisi kuogopa mataifa mengine. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Siwezi kuwashinda wao"

mtafikiri akilini

Hii ni nahau. "unapaswa kukumbuka"

kile macho yenu yameona

Hapa "macho" urejea kwa watu walichoona.

mkono hodaru, na mkono ulionyoka

Hapa "mkono hodari" na "mkono ulionyoka" ni mifano ya nguvu ya Yahwe