sw_tn/deu/07/14.md

881 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama vile wanaisraeli wako mtu mmoja.

Utabarikiwa zaidi kuliko watu wengine wote

Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji. "Nitakubariki zaidi kuliko ninavyowabariki watu wengine wowote."

hapatakuwa na utasa wa kiume au wa kike miongoni mwenu au miongoni mwa mifugo yenu

Musa atumia maelezo hasi kusisitiza kwamba wote wataweza kuwa na watoto. Hii inaweza kutajwa katika hali chanya. "Wote ninyi mtaweza kuwa na watoto na mifugo wataweza kuzaa"

miongoni mwenu...mifugo

Maneno haya "wewe" na "yako" viko katika wingi.

chukua mbali na magonjwa yako yote

"hakikisha haumwi" au "jiweke kabisa na afya"

hakuna hata magonjwa mabaya ... atakayoweka juu yenu, lakini atayaweka juu ya wale wanaomchukia.

Musa anazungumza kama ugonjwa ulikuwa kitu kizito ambacho Yahwe angeweka juu ya watu. "