sw_tn/deu/07/04.md

20 lines
636 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
# Kwa watakuwa
"Kama mtaruhusu watoto wenu kuoa watu kutoka mataifa mengine, watu kutoka mataifa watakuwa"
# Kwa hiyo hasira ya Yahwe itawashwa dhidi yenu
Musa analinganisha hasira ya Yahwe kwa yeyote anawasha moto. Hii inasisitiza nguvu ya Yahwe kuharibu kile kimsababisha yeye kukasirika. Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji.
# dhidi yenu
Neno "wewe" urejea kwa wanaisraeli wote na kwa hiyo ni wingi.
# utashughulika...utavunja...kata..choma
Musa anazungumza na wanaisraeli wote, kwa hiyo haya maneno ni wingi.