sw_tn/deu/06/08.md

24 lines
792 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
# yafunge
Hii ni neno kwa ajili ya "andika haya maneno kwenye ngozi, weka ngozi kwenye mkoba, na ufunge mkoba." Hili ni neno kwa nyogeza linaweza kuwa mfano kwa ajili ya "kutii haya maneno ili iwe kama yalikuwa kimwili hapo."
# kama ishara juu ya mkono wako
"kama kitu fulani kufanya wewe kukumbuka sheria zangu"
# nazo zitatumika kama utepe
Hii ni neno kwa ajili ya "andika haya maneno kwenye ngozi, weka ngozi kwenye mkoba, na ufunge mkoba kwenye kichwa chako ili ukae." Hili ni neno kinyume linaweza kuwa mfano kwa ajili ya "kutii haya maneno ili kwamba iwe kama vile vilikuwa katika uhalisia hapo."
# utepe
mapambo mtu uvaa kwenye paji la uso
# Utaandika
Hii ni amri