sw_tn/deu/06/06.md

402 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli walikuwa mtu mmoja.

Ninakuamuru wewe

Musa anazungumza amri za Mungu kwa watu wa Israeli

itakuwa katika moyo wako

Hii ni nahau. "unapaswa daima kukumbuka"

utafundisha kwa bidii... utaongea

"Ninakuamuru wewe kufundisha kwa bidii...Ninakuamuru wewe kuongea." Msomaji anapaswa kuelewa haya kama amri.