sw_tn/deu/04/35.md

582 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "wako" ni umoja.

Kwako mambo haya yalionyeshwa

Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji. "Yahwe aliwaonyesha mambo haya"

aliwafanya kusikia...aliwafanya kuona

"alihakikisha mnasikia...alihakikisha mmeona"

kuwafanya ... mlisikia

Musa anazungumza kama watu waliokuwa anaongea nao walikuwa ni watu alioongea nao kwenye mlima Sinai miaka mingi ya mwanzoni. Watu katika mlima Sinai kwa uhalisia walikuwa baba wa watu ambayo alikuwa anaongea maneno haya.