sw_tn/deu/04/34.md

251 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli

na kwa mkono wa ushujaa, na kwa mkono ulionyoshwa

Hapa "mkono wa ushujaa" na "mkono kunyoshwa" ni mifano ya nguvu ya Yahwe.

mbele ya macho yenu

Hapa "macho" urejea kwa mtu mzima