sw_tn/deu/04/21.md

12 lines
424 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.
# Yahwe alikuwa amekasirika juu yangu kwa sababu
Hii inarejea wakati Musa alishindwa kutii kile Yahwe alimwambia kufanya kwa sababu Musa alikuwa amekasirika juu ya watu wa Israeli. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi.
# Yahwe Mungu wenu anawapa
Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo "wewe" na "wako" ni umoja.