sw_tn/deu/04/19.md

963 B

Hautainua macho yako...na kutazama... na kusogezwa... Yahwe Mungu wako

Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" na maneno "inua," "tazama," na "kusogezwa" ni umoja.

Hautainua ... na kusogezwa mbali kuabudu

Hii inaweza kutofasiri katika kauli. "Usi... na usimwaache yoyote akufanye uabudu" au " Usi...na usikubali mwenyewe kuabudu"

jeshi lote la mbinguni

"chochote unachoweza kuona angani." Hii ni njia nyingine wa kurejesha kwa jua, mwezi, na nyota.

ambayo Yahwe Mungu wenu amewapa ushiriki watu wote

Hii ni nahau. Musa anazungumza juu ya nyota kama zilikuwa vitu vidogo kama chakula ambacho Yahwe alikuwa anagawa na kuwapa makundi ya watu. "kwamba Yahwe Mungu wenu ameweka hapo kusaidia makundi yote ya watu."

aliwatoa kutoka tanuru la chuma

Musa anazungumza juu ya Misri na kazi ngumu wanaisraeli walifanya huko kama vile oveni ambayo chuma kinachomwa na wanaisraeli walikuwa ni chuma.