sw_tn/deu/04/09.md

24 lines
793 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Zingatia peke na kuwa makini ... kujilinda, usisahau ... macho yako... moyo wako ... maisha yako... yafanye yajulikane kwa watoto wako na wana watoto wako ... uliyosimama mbele ya Yahwe Mungu wako
Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama alikuwa mtu mmoja, hivyo mifano ya "wewe", "yako" na "mwenyewe," "linda," na "fanya ujulikane" ni umoja.
# Zingatia kwa pekee na kwa makini ujilinda,
"Zingatia kwa makini na uwe na uhakika kukumbuka haya mambo daima"
# usisahau...haziuwachi moyo wako
Haya maneno umaanisha kitu kilekile na kusisitiza kwamba watu wa Israel wanapaswa kukumbuka kile walichokiona.
# macho yako yameoana
Hapa "macho " inasimama kwa nafsi.
# Nikusanyie watu
"Walete watu kwa pamoja na walete kwangu"