sw_tn/deu/04/07.md

302 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli

Kuna taifa gani jingine la vile liko hapo ...yeye? Kuna taifa gani jingine kubwa la vile liko hapo...leo?

Haya maswali yanaweza kutofasiriwa kama maelezo. "Kwa kuwa hakuna taifa kubwa jingine...yeye. Hakuna taifa kubwa jingine leo."