sw_tn/deu/04/05.md

28 lines
797 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Tazama
"Zingatia"
# kwamba ufanye hivyo katikati mwa nchi
"kwamba uwatii wakati unaishi kwenye nchi"
# zishike na kuzifanya
Haya makundi mawili ya maneno kwa msingi yana maanisha vilevile na kusisitiza kwamba watawaitii.
# hii ni hekima yako na uelewa wako kwa mtazamo wa watu
Maneno "hekima" na "uelewa" ni maneno mbadala wa imani ya watu kwamba wanaisraeli walikuwa na hekima na uelewa kwa kile cha umuhimu. "hiki ndicho kitaonesha watu hekima yako na uelewa wako"
# machoni pa watu
Maneno "machoni pa" unamaanisha "kwa mtazamo wa." Hii inamaanisha watu wengine watawatazama watu wa Israel kuwa na hekima.
# hili taifa kubwa ni la watu wa hekima na uelewa.
Neno "taifa" ni neno kwa kwa ajili ya watu wa taifa hilo.