sw_tn/deu/04/01.md

12 lines
244 B
Markdown

# Ni karibu kukufundisha
Musa anawambia watu wa Israeli kile Mungu anataka wao kufanya.
# kuwafanyia
"na kuwatii"
# Hautayaongeza maneno ...wala kuyapunguza
Yahwe hataki watu wake kutengeneza sheria mpya, au kupuzia zile alizowapa tayari.