sw_tn/deu/03/15.md

415 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Nilimpa

Hapa "Ni" urejea kwa Musa.

kwa Machir

"kwa uzao wa Machir." Huyu ni mwana wa Manasseh. Alikufa kabla Musa hajatoa nchi hii.

bonde la Arnon

Hili ni jina la bonde la mto wa Arnon. Inatengeneza mpaka kati ya Moabu na Amorites.

Mto Jabbok

Hili ni jina la mto ambao ulitengeneza mpaka kati ya nchi ya Sihoni na nchi ya Ammonites.