sw_tn/deu/03/14.md

376 B

Taarifa ya ujumla

Hii inaendeleza taarifa ya nyuma kuhusu nchi ambayo watu wa Israeli waliiteka.

Jair

Hili ni jina la mwanaume.

Geshunites na Maacathites

Haya ni makundi ya watu walioishi magharibi mwa Bashani.

Havvoth Jair

Mtofasiri anaweza kuweka maelezo haya kwa kusema: "Jina la 'Havvoth Jair' linamaanisha 'mahema ya kijijini Jair' au 'ulimwengu wa Jair"