sw_tn/deu/03/12.md

8 lines
330 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu kile kilichotokea hapo nyuma.
# Ni eneo lilelile linaitwa nchi ya Rephaim
Mwandishi anaanza kuwasilisha taarifa ya nyuma kuhusu nchi ambayo watu wa Israeli waliiteka. Kama lugha yenu ina namna ya kuonesha kwamba kile kinachofuata ni taarifa ya nyuma, unapaswa kuitumia hapa.