sw_tn/deu/02/32.md

176 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kuhusu kile kilichotokea hapo nyuma

Sihoni

Hili ni jina la mwanaume.

Jahazi

Hili ni jina la mji wa Moabu