sw_tn/deu/01/22.md

362 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini kizazi cha awali cha wanaisraeli walifanya.

watu kumi na mbili

"12 wanaume"

Waligeuka na kwenda

"Waliondoka eneo hilo na kwenda"

bonde la Eshcoli

Hili ni bonde katika mji wa Hebroni, ambao uko kusini mwa Yerusalemu.

waliutafuta

"walitazama kwa ajili ya maeneo wataweza kuvamia"