sw_tn/deu/01/15.md

522 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.

na watu wa tabia nzuri

"na watu ambao watu wako waliwaheshimu."

maelfu...mamia...hamsini...makumi

"ya makundi ya 1,000... ya makundi ya 100...ya makundi ya hamsini... na makundi ya 10"

nahodha...,maafisa

Hivi ni vyeo kwa viongozi tofauti katika serikali ya Israeli.

kabila kwa kabila

"kutoka kila kabila lenu"

hukumu kwa haki kati ya mtu na ndugu yake

"fanya sawa na maamuzi ya haki kuhusu migogoro wanaisraeli walio nayo wao kwa wao"