sw_tn/deu/01/03.md

28 lines
609 B
Markdown

# Ilitokea katika mwaka wa arobaini, katika mwezi wa kumi na moja, siku ya kwanza ya mwezi, ambayo Musa alizungumza.
"Walikuwa wameishi jangwani miaka 40, miezi 11, na 1 siku, wakati Musa alipozungumza"
# Arobaini
40th
# katika mwezi wa kumi na moja, katika siku ya kwanza ya mwezi.
Huu ni mwezi wa kumi na moja wa Kiabrania. Siku ya kwanza iko karibu katikati mwa mwezi Januari kwa kalenda za Magharibi.
# kumi na moja
11th
# Yahwe alikuwa amevamia
"Yahwe alikuwa amewawezesha wanaisraeli kushinda"
# Sihon...Og
Haya ni majina ya wafalme.
# Heshbon... Ashtarothi ya Edrei
Haya ni majina ya miji