sw_tn/dan/11/13.md

8 lines
190 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Malaika anaendelea kuongea na Danieli.
# jeshi kubwa likiwa na vifaa vingi
Hii pia yaweza kuandikwa kwa muundo tendaji. "jeshi kubwa ambalo litakua na zana za kutosha"