sw_tn/col/01/24.md

40 lines
1.4 KiB
Markdown

# Natimiliza katika katika mwili wangu kile kinachopungua kwa mateso ya Kristo
Paulo anazungumzia mateso anayoendelea kuyapata. Yawezekana alikuwa anateseka mno ambapo yeye na Wakristo wote lazima wapitie kabla Kristo hajaja tena, na kwamba Krsito hupata pamoja nao kiroho haya magumu.
# Natimiliza katika mwili wangu
Paulo anazungumzia mwili wake kana kwamba kilikuwa chombo cha kubebea ambacho kingeweza kubebea mateso.
# kwa ajili ya ajili mwili wake , ambao ni kanisa
mara nyingi Paulo anazungumzia kanisa, kundi la waamini wote, kana kwamba ulikuwa mwili wa Kristo.
# kulijaza neno la Mungu
Hii inamaana kuleta lengo la ujumba wa injili ya Mungu, ambayo inatakiwa kuhubiriwa na kuaminiwa.
# Huu ni ukweli wa siri uliokuwa umejificha
Hii inaweza katika muundo kamili. "huu ni ukweli ambao Mungu alikuwa ameuficha"
# kwa miaka mingi na vizazi na kwa miaka
Neno "miaka" na "vizazi" inarejelea kwenye kipindi tangu uumbaji wa dunia mpaka kipindi wakati inijili ilipohibiriwa.
# sasa imefunuliwa
"sasa Mungu ameifunua"
# utajiri wa utukufu wa siri ya kweli
Paulo anazungumzia thamani hii siri ya ukweli Mungu kana kwamba kulikuwa na hazina ya kupata malighafi. "utajiri"
# Kristo yumo ndani yenu
Paulo anawazungumzia waamni kana kwamba walikuwa vyombo vya kubebea ambapo Kristo yupo. Hii ni moja ya njia yake kuelezea umoja wa waamini pamoja Kristo.
# Ujasiri wa utukufu ujao
"ambao mnaweza utarajiwao kusemwa kwa utukufu wa Mungu"