sw_tn/col/01/18.md

28 lines
716 B
Markdown

# Yeye ni kichwa
"Yesu Kristo, Mwana wa Mungu, ni kichwa."
# Yeye ni kichwa cha kanisa, yaani mwili wake
Hii inalinganisha nafasi ya Yesu kwa kanisa kama kichwa katika mwili wa kibinadamu.
# Mwanzilishi
yeye ni mtawala wa kwanza au mwanzilishi. Yesu alianzisha wa kanisa
# Mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu
Yesu ni mtu wa kwanza kufa na kurudi katika uhai, hatakufa tena.
# Mwana
Hii ni jina muhimu sana kwa Yesu, mwana wa Mungu.
# Kupitia damu ya mwana ya msalaba wake
asili yaneno "Kupitia" ni wazo la mtiririko au njia, inaonyesha kwamba Mungu huleta amani na upatanisho kwa watu kwa damu ya Yesu alipokufa msalabani.
# damu ya msalaba wake
Hapa "damu" inasimama badala kifo cha Kristo msalabani.