sw_tn/col/01/07.md

20 lines
713 B
Markdown

# mpendwa wetu...mwenzetu...kwa niaba yetu
Neno "yetu" na "sisi" sio pamoja na Wakolosai.
# injili mliyojifunza kutoka kwa Epafradito, mpendwa wetu mtumishi mwenzetu, ambaye
"injili. Ambayo hasa umejifunza kutoka kwa Epafradito, ambaye in mpendwa mtumishi mwenzetu na ambaye" au "injili. ni sahihi kile Epafra, mtumishi mwenzetu mwenzetu, aliwafundisha. Yeye"
# Epafra, tumishi mpendwa wetu, ambaye ni mtumishi mwaminifu wa Kristo kwetu
Hii ina maana kwamba Epafraalikuwa anafanyakazi kwaajili ya Kristo ambayo Paulo mwanyewe angeliifanyakama asingekuwa gerezani.
# Epafra
Epafra alikuwa mwanaume aliyehubiri Injili kwa watu wa Kolosi
# mpendwa wenu katika Roho
Roho Mtakatifu amewazesha kupenda waumini