sw_tn/amo/09/09.md

8 lines
408 B
Markdown

# mtu apepetaye ngano kwenye ungo, hivyo basi hakuna hata chembe ya jiwe itakayoanguka kwenye aridhi
Hapa ni picha ya nafaka zinazoanguka kwenye ungo na mawe kutolewa nje. Baadhi ya matoleo yanaelewa "sio mawe madogo yatakayoanguka" kumaanisha nafaka nzuri hazitaangukia kwenye ungo pamoja na malghafi yasiyohitajika.
# ungo
uso wenye matundu madogo unaoruhusu vitu kupita na kuweka vitu vikubwa visipite