sw_tn/amo/05/06.md

16 lines
386 B
Markdown

# atawaka kama moto
"atakuwa kama moto uwakao ghafla na kuharibu kila kitu"
# kugeuza kutenda haki kuwa jambo chungu na kuiangusha haki chini
kuita mambo maovu mema na kutenda mambo kama yasiyo muhimu
# geuzao haki kuwa jambo chungu
au "kugeuza haki" au "kufanya isiyo haki lakini kusema ni haki"
# kuiangusha haki chini
au "tena haki kama ingawa ilikuwa sio muhimu kama uchafu"