sw_tn/amo/04/04.md

706 B

Nendeni Betheli na uovu, hata Gilgali mkaongeza dhambi

"Kwa sababu mmekataa kutubu, sadaka mtoazo katika Betheli na Gilgali pekee huniongeza asira zaidi"

leteni dhabihu zenu...zaka zenu...toeni sadaka za shukrani...tangazeni sadaka za hiar; zitangazeni

Kama lugha yako inanjia ya kuonyesha kwamba watu walikataa kuelewa kwamba kufanya haya mambo itawafanya vibaya lakini hayasimama kuwafanya, unaweza kutaka kuitumia hapa.

zaka zenu kila baada ya siku tatu

Badala ya "kila baada ya siku tatu," baadhi ya matoleo yana "kila baada ya miaka mitatu." Hi ni kwa sababu Waisraeli walitakiwa kuleta zaka zao kwa Mungu mara moja kila baada ya miaka mitatu.

asemavyo Bwana Yahwe

Bwana Mungu anasema.