sw_tn/amo/03/11.md

8 lines
423 B
Markdown

# kulalia
kiti kikubwa laini kwa kulala juu yake
# pamoja na pembe ya kulalia, au pembe ya kitanda
Hiki kifungu kati Ebrania ni kigumu kuelewa, na baadhi ya matoleo yametafsiri kwa utofauti. Tafsiri ya UDB, imepangwa kwa baadhi ya matoleo ya kisasa, inatumia tashbihi. Inatamaana kwamba Waisraeli pekee wachache wataokoka, kama mmiliki wa nyumba angeweza kuokoa sehemu chache ya samani wakati nyumba yake inashika moto.